Vidokezo 6 vya kukuepusha na habari potofu mtandaoni
Katika Data Detox hii, utachunguza mada na maneno yanayohusiana na habari potofu, ukianza na kuangalia kwa karibu wajibu wako na kisha kuchunguza picha kubwa zaidi, huku ukipata ushauri wa jinsi ya kupata njia yako kupitia kile kilicho huko.